1/6
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 0
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 1
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 2
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 3
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 4
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 5
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) Icon

Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)

Tanzania Tech Media
Trustable Ranking IconOfficial App
1K+다운로드
10MB크기
Android Version Icon4.1.x+
안드로이드 버전
2.0(26-02-2021)최신 버전
-
(0 리뷰)
Age ratingPEGI-3
다운로드
세부 정보리뷰버전정보
1/6

Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)의 설명

Kupata habari imekuwa ni rahisi sana siku hizi, hii inatokana na kuwepo kwa vyanzo vingi vya habari kiasi kwamba ni lazima utaweza kupata habari kupitia vyanzo hivyo. Lakini wote tunajua ni ngumu sana kupata habari kwa ukamilifu kwa kuwa haiwezekani kutembelea tovuti zote hizo kwa pamoja ndio maana tunakuletea App ya Gazeti.


Gazeti ni App itakayokupa uwezo wa kusoma Magazeti ya leo pamoja na habari mbalimbali kwa urahisi kutoka tovuti mbalimbali bila Matangazo, Mbali na tovuti app ya Gazeti inakupa uwezo wa kusikiliza radio pamoja na idhaa za kiswahili kutoka nchi mbalimbali.


Gazeti App pia inakupa urahisi wa kuangalia TV mbalimbali za hapa nchini Tanzania na nje ya nchi, kifupi ni kwamba Gazeti App inakupa habari zote za Ndani ya Tanzania kwa haraka na kwa urahisi na bila kuwepo kwa Matangazo. Tunategemea kuongeza vyanzo vingine mbalimbali hivyo hakikisha unapakua app ya Gazeti sasa.


* Unaweza kusoma Habari Kutoka Tovuti kubwa za Habari Tanzania.

* Unaweza Kuangalia Mbalimbali Habari Kutoka Vyanzo vikubwa vya Habari Tanzania.

* Unaweza kusikiliza Radio na kuangalia TV za ndani na nje ya Tanzania.

* Na mengine mengi.....


Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) - 버전 2.0

(26-02-2021)
다른 버전들
뭐가 새롭나Sehemu Mpya ya Habari Video * Global TV YouTube * Ayo TV YouTube * Wasafi Media YouTube * Bongo 5 YouTube * Azam TV YouTube * MCL Digital YouTube * ITV Tanzania YouTube * TBC Online YouTube * EATV YouTubeSehemu Mpya ya Social Media * Sehemu hii inakuja na vyanzo mbalimbali vya habari kutoka kwenye mitandao ya kijamii ya Facebook na InstagramMaboresho ya MuonekanoMaboresho ya Sehemu ya Michezo Tumeongeza AZAM TVSehemu Mpya ya Jinsi ya Kutumia

아직 평가나 리뷰가 없습니다! 첫 번째로 남겨 보세요

-
0 Reviews
5
4
3
2
1

Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) - APK 정보

APK 버전: 2.0패키지: com.gazeti.digitalwebbased
안드로이드 호환: 4.1.x+ (Jelly Bean)
개발자:Tanzania Tech Media개인정보보호정책:https://tanzaniatech.one/privacy-policy.html권한:28
이름: Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)크기: 10 MB다운로드: 110버전 : 2.0출시 날짜: 2021-02-26 13:33:53
최소 스크린: SMALL지원되는 CPU: 패키지 ID: com.gazeti.digitalwebbasedSHA1 서명: 1F:F6:91:BF:92:D5:19:E3:56:43:01:04:4C:87:65:62:EA:58:DD:66최소 스크린: SMALL지원되는 CPU: 패키지 ID: com.gazeti.digitalwebbasedSHA1 서명: 1F:F6:91:BF:92:D5:19:E3:56:43:01:04:4C:87:65:62:EA:58:DD:66

Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)의 최신 버전

2.0Trust Icon Versions
26/2/2021
110 다운로드10 MB 크기
다운로드

다른 버전들

1.6Trust Icon Versions
22/5/2020
110 다운로드8.5 MB 크기
다운로드
1.5Trust Icon Versions
11/5/2020
110 다운로드8.5 MB 크기
다운로드
1.4Trust Icon Versions
9/2/2020
110 다운로드7.5 MB 크기
다운로드
appcoins-gift
AppCoins 게임더 많은 보상을 받으세요!
더 보기